Mganga wangu, mzazi mwenza… Umetuacha na machozi, Umetuacha na majonzi… Umemuacha binti akiuliza, Maana ya maisha ni nini? Hata kama tulishetengana, Binti katufunga kama kamba… Buria… more →
Upande MwingineSerina wrote 1 day ago: Mganga wangu, mzazi mwenza… Umetuacha na machozi, Umetuacha na majonzi… Umemuacha binti … more →
Serina wrote 3 months ago: Moyo wangu waniuma… Kwa nini si mwajua? La sivyo nitawatambulia… Mda wake utakapowadia. … more →
Serina wrote 6 months ago: The air was thick with anticipation, The feast was rumored to be… The largest, The grandest, The mos … more →
Serina wrote 7 months ago: Naamka na tabasamu, Maana najua wewe ni wangu, Hisia zinazonipitia kwangu, Furaha tupu, mwenzangu! N … more →
Serina wrote 7 months ago: Tembea, tembea usichoke… Tembea uone dunia, Uyaone ya ulimwengu Tembea ufuate riziki, Tembea u … more →
Serina wrote 9 months ago: Penye wengi, pana mengi… Penye mengi, pana semi… Nyoka huzaa nyoka hujafahamu? Ulivyonil … more →
Serina wrote 9 months ago: Wanipa kinyongo, bila kujua… Jinsi unavyozungumuza nami, bila kufafanua… Wanitusi kila t … more →
Serina wrote 9 months ago: Shughuli hapa na pale zaniita… Kuzitimiza bila malalamiko desturi, Ulegevu huu umetoka wapi? M … more →
Serina wrote 9 months ago: Kama kawaida Walalamika na kulalamika Kuwa hupati dakika Na huna uhakika Kama na ridhika Kama kawaid … more →
Serina wrote 10 months ago: Nimpenda’e hajajua Ya kuwa nampenda Lakini nampenda. Manukato yake sijanusia Macho yake sijaya … more →
Serina wrote 10 months ago: One lie is just as forgiveable as a string of them. Ten mistakes can as easily be overlooked as one … more →
Serina wrote 10 months ago: sina mengi yakusema, ingawa mwataka niseme… sina mengi ya kunena, ingawa nina maneno… si … more →
Serina wrote 10 months ago: Macho nilipoyafumba Niliyaona ya dunia Niliyoyapitia Na mengine mengi Singelipenda kupitia Nikageuka … more →
Serina wrote 11 months ago: Ul’sibu mwangu maishani… Kama jasiri mwindaji Ul’nonjesha cha kinywa asali Hadi n’katoka … more →
Serina wrote 1 year ago: Mwataka amani, bila risasi… mwapewa nafasi, mwatengeneza bunduki… aliye na akili, biasha … more →
Serina wrote 1 year ago: Namlilia Zubeda mwajua… Nafasi ya Malkia alichukua! Namlilia kwa kuwa… Hataki kujua, hataki kuambiwa … more →
Serina wrote 1 year ago: Kila kunapokucha… Nayafungua macho yangu Yaliyojaa usingizi Jicho moja likifuatwa na lingine N … more →
Serina wrote 1 year ago: Nina masaibu… Sina amani ndugu… Kichwa chaniuma, Lakini moyo wangu zaidi wauma. Ni wapi … more →
Serina wrote 1 year ago: Nim’pata nilichotafuta… Nim’pata na roho imetulia… Nim’tafuta na nim … more →