Tags » Baraza

BARAZANI: Waziri atishia kujiuzulu Z’bar

Zanzibar. Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Issa Haji Ussi amesema yuko tayari kuachia nafasi yake endapo itagundulika kauli zake zinadanganya na kushusha utendaji wa Serikali.

Jamii

Wawakilishi Z’bar wakacha kikao, Baraza laahirishwa

Zanzibar. Kikao cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW), kimeahirishwa kwa mara ya pili kutokana na idadi ya wajumbe kutotimia kwa mujibu wa kanuni za uendeshaji wa chombo hicho cha kutunga sheria, Zanzibar.

Habari

Uhaba wa fedha waathiri wagonjwa Zanzibar

 Zanzibar. Wagonjwa wa akili katika Hospitali ya Kidongochekundu, wamekuwa wakipewa mlo mmoja kwa siku katika kipindi cha mwaka mmoja na wakati mwingine kulala giza kutokana na Wizara ya Afya Zanzibar kushindwa kutoa fedha za matumizi kwa muda mwafaka, imefahamika visiwani humu jana.

Habari

Shein awataka mawaziri Z’bar kujibu maswali kwa hoja

Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amewataka mawaziri kujibu maswali yanayoulizwa na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa hoja na kwa umakini mkubwa ili kufanikisha utekelezaji wa wajibu wa baraza wa kuisimamia Serikali.

Habari