Tags » C.H.A

WAJA wa kisawasawa wakata tamaa

Kinamama wenye watoto wachanga wa kijiji cha Kisawasawa wamelaumiwa na wawezeshaji wa afya (WAJA) wa kijiji hicho kwa kutozingatia masharti ya kumnyonyesha mtoto kulingana na ushauri wa kitaalamu wanaowapatia. 190 more words

CHA

Kinamama wa Mikoleko wawasifu WAJA kwa elimu ya uzazi wa mpango.

Kinamama wa kijiji cha Mikoleko wameonyesha kufurahishwa na elimu ya uzazi wa mpango iliyotolewa na wawezeshaji wa Afya (WAJA) wa kijiji hicho katika wiki ya kwanza ya mwezi wa nne. 239 more words

CHA

Usumbufu huu ni kero kwa WAJA

WAJA wakisoma risalaWawezeshaji wa afya ya jamii (WAJA) waendelea kutoa malalamiko juu ya usumbufu wanaoupata kutoka kwa wananchi na viongozi wa serikali ya vijiji kutokana na kipato chao pamoja na nafasi waliyonayo katika jamii. 187 more words

CHA

Small Talk Frames & Tags

Finished this layout today.  Used the Small Talk Frames & Tags cartridge.  Very easy to use.  Actually, these images could be used in Project Life pockets. 15 more words

Trending

Zable 22 inches Black Leather Wrap Bracelet Magnetic Clasp and Smart Pandora Compatible Bead Cha

The impressive Zable ™ 22 inches Sterling Silver Black Leather Wrap Bracelet with Magnetic Clasp and Smart Pandora Compatible Bead / Cha, crafted in 925 Sterling Silver . 168 more words

O segredo do corpo delineado e seu grande aliado: a hidratação!

NÃO TEM SEGREDO. TEM QUE BEBER ÁGUA E SE HIDRATAR.  ALÉM DE FAZER O CORPO FUNCIONAR MELHOR É O MAIOR ALIADO NA CINTURINHA FINA E NO CORPO TÃO DESEJADO E DESENHADO DAS MULHERES. 1,156 more words

Dicas

Faida za Kunyonyesha mtoto

Wawezeshaji wa Afya ya jamii wamesifiwa kwa kutoa ushauri ns elimu juu ya unyonyeshaji wa maziwa ya mama kwa mtoto na wateja wao amabo huwatembelea kwenye kaya zao kwa kufuata ratiba zao za kila siku katika vijiji vyao wanavyofanyia kazi hizo. 207 more words

CHA