Lakini Kama LOWASSA Anataka Urais Kisha autafute kwa mlango wa nyuma akitumia makanisa, Nina shaka hawezi kufanikiwa.

Lowasa Alianza kuwinda Urais tangu alipojiuzulu uwaziri mkuu sababu ya Kashfa nzito kumhusu. 197 more words