Tags » Dodoma

Dodoma wood curvers

Dodoma, is the administrative capital of Tanzania. A ‘small’ town when I visited that had all the signs of administrative incentives to grow it as a hub. 190 more words

Tanzania

Bunge la Katiba-Mjadala wa Rasimu-Siku ya tatu

Leo mjadala wa rasimu umeendelea. Kwa mujibu wa kanuni, kamati zilitakiwa kujadili sura mbili kwa siku mbili. Pamoja na kuongeza siku, baadhi ya kamati zimemaliza kazi na nyingine zimeshindwa kukamilisha kazi hii ndani ya muda uliopangwa. 119 more words

Bunge la Katiba- Mjadala wa Rasimu-Siku ya Pili

Leo mjadala wa rasimu ya katiba umeendelea, huku mvutano ukiwa katika muundo wa Muungano na vile vile kwa baadhi ya wajumbe kutaka kupatiwa nakala za hati ya Muungano na ushahidi wa kuridhiwa kwa Muungano upande wa Zanzibar. 91 more words

Bunge la Katiba-Mjadala wa Rasimu- Siku ya kwanza

Baada ya zaidi ya siku thelathini baada ya Bunge la Katiba kuitishwa rasmi Dodoma tarehe 18 Februari 2014, leo tumeanza kujadili rasimu ya katiba.
Ikumbukwe hapo awali tulikuwa tumelenga kuwa na katiba mpya ifikapo tarehe 26 Aprili, 2014 siku ambayo tunaadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. 188 more words

Katika mahojiano na site manager wa mtandao huu E-square wamesema kesho ni kesho asemaye keshokutwa mwogopeni.
21 – 22 mtoko tu.

E-square wametaja moja kati ya mambo watakayotakiwa kufanya katika siku yao ya pili kuwa ni buruudani tu.
this’s fanta..

By Dijacs John

Jamii ya vijana wazungumzia sikukuu ya E-square Day, wasema siku hii wanarelax, kwa kutoka na wenzi wa kufurahi nao. ambapo wengi wamedai kwenda sehemu za kuvutia, na sehemu maarufu, ikiwa imebaki saa 30 kufikia siku hiyo ya e2day.very much fantastic

By Dijacs John