Tags » Escrow

Sawa Werema amejiuzulu,wengine wanasubiri nini?

Juzi Ikulu ilitangazia umma kwamba Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, amejiuzulu wadhifa wake kutokana na ushauri aliotoa kwa serikali kuhusu akaunti ya Tegeta Escrow ambao umechafua hali ya hewa nchini. 716 more words

Kiswahili

Calls for prosecution as AG Werema quits

Attorney General Frederick Werema resigned yesterday over the Tegeta escrow scandal, prompting immediate calls for him to be charged in court.

Mr Werema becomes the first casualty of the scandal involving the controversial withdrawal of Sh306 billion from the central bank to facilitate an equally questionable acquisition of Independent Power Tanzania Limited (IPTL) by Pan Africa Power Solution (PAP). 497 more words

English

Escrow yamng’oa Mwanasheria Mkuu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia jana kutokana na kuhusishwa na kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow.

Katika barua yake kwa Rais Jakaya Kikwete, Jaji Werema alisema ameomba kujiuzulu kwa sababu; “ushauri wake kuhusiana na suala la Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.” 171 more words

Kiswahili

JK’s axe set to fall on escrow scam culprits

It is now clear that President Jakaya Kikwete will give his stand on the Tegeta escrow account scam next week. According to a statement released yesterday by the State House Directorate of Communications, the Head of State has already received the CAG report, Parliament resolutions and other documents on the controversial cash withdraw. 622 more words

English

Kikwete kuamua IPTL ndani ya wiki

Siku moja baada ya Ikulu kueleza kuwa Rais Jakaya Kikwete pamoja na kupokea ripoti kuhusu Akaunti ya Tegeta Escrow hawezi kuwachukulia hatua wahusika mpaka uchunguzi kuhusu suala hilo utakapokamilika, ofisi hiyo ya Rais sasa imesema atafanyia kazi uamuzi wa ripoti hiyo katika wiki moja ijayo. 769 more words

Kiswahili

Wanaomtetea Prof. Muhongo wajibu haya

Jitihada za kumtetea Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kwa kudai kuwa amefanya mambo makubwa katika kipindi kifupi alichokaa na hivyo hastahili kuondoshwa licha ya kuhusishwa na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh. 1,933 more words

Kiswahili

Maamuzi ya bunge juu ya kashfa ya Escrow neno kwa neno

Kifuatacho ni kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano cha tarehe 29 Novemba 2014, neno kwa neno kama kilivyoendeshwa na Spika Anna Makinda na kuhitimishwa kwa maazimio ya Bunge yaliyopaswa kutendewa kazi na mamlaka husika, ikiwemo Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano. 8,570 more words

Kiswahili