Tags » Hotuba Na Mawaidha

IMAM WA SWALA YA IJUMAA: ITIKADI YA UTAKATIFU (UMAASUMU) WA MITUME SILAHA PEKEE YA KULINDA UJUMBE WA ALLAH (SW).

 Hatibu na Imam wa Swala ya ijumaa Msikiti wa Ghadir Kigogo, Dar es Salaam Sheikh Mohamed Abdi Mbwana akiwahutumia mamia ya waumini katika ibada ya Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa msikitini hapo leo amewaasa Waislamu kutumia Akili zao kubainisha utukufu na Utakatifu (Umaasumu) wa Mitume na ndipo waegeukia Aya za Mwenyezimungu na kuasa kuwa Allah (sw) ameahidi kwa kupitia akili atawatia watu peponi na kwa akili hiyo hiyo pia atawaingiza Motoni. 450 more words

Hotuba Na Mawaidha