Lost your password?

Blogs about: Maswali

Featured Blog

Mtu aliyeokoka kufanya kazi ya Jeshi.5 comments

Strictly Gospel wrote 5 days ago: Je, ni sawa au si sawa kwa mtu aliyeokoka kufanya kazi ya Jeshi, ambayo wakati mwingine huambatana n … more →

Does it make sense to you?5 comments

Strictly Gospel wrote 6 days ago: Jana nilikaa mahali baada ya kutoka kwenye ibada, nikatafakari yafuatayo. Krismas ndiyo Christmas? K … more →

Mchungaji wa Kanisa na Miradi ya biashara6 comments

Strictly Gospel wrote 3 weeks ago: Wapo wachungaji ambao huendesha maisha yao kwa kutegemea sehemu ya au pesa yote inayotokana na sadak … more →

Moving on...20 comments

Val wrote 2 months ago: So at what point do you know that you have moved on? Is there supposed to be a big AHA! moment ama a … more →

Tags: Relationships, Getting Over It

Mungu ana dini?1 comment

Strictly Gospel wrote 2 months ago: Je, Mungu, muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo, ana dini? Na kama anayo ni dini gani? … more →

Tufanyeje nafsi na miili yetu iwe na utii?2 comments

Strictly Gospel wrote 2 months ago: Bwana Yesu Asifiwe, ni mara ya kwanza kuandika hapa lakini ni msomaji mzuri na nimejifunza mengi kup … more →

Nini tofauti kati ya huduma na Karama?3 comments

Strictly Gospel wrote 3 months ago: Bwana asifiwe , Kuna kitu ambacho ningependa kukijua kutoka kwenu nini tofauti kati huduma karama ka … more →

Sikukuu ya Idi28 comments

Strictly Gospel wrote 3 months ago: Naomba niulize mtu anapokusalimia “Idd Mubarak au nakutakia Idd njema” unajibuje kama mk … more →

Je, Ni sahihi kwa Mkristo kujilimbikizia Mali?6 comments

Strictly Gospel wrote 3 months ago: Nimekuwa nikiangalia mambo yanavyoenda katika kanisa na Ukristo kwa ujumla nikajiuliza maswali kadha … more →

Kufanya kazi Jumapili

Strictly Gospel wrote 3 months ago: Je, kuna tatizo lolote kwenye maisha ya kiroho kwa mkristo kufanya kazi siku ya jumapili? … more →

Getting rid of a headache..and trying not to think about cheese!11 comments

Val wrote 3 months ago: So this is my effort to get rid of the headache that has plagued me since I woke up. I mean what is … more →

Tags: unrelated matters thrown together, Quirks, Friendship, cheese, Work, headaches

Bwana Yesu alimaanisha nini?2 comments

Strictly Gospel wrote 3 months ago: Wengi wameitwa lakini wachache wamechaguliwa “Mathayo 22:14″ Wameitwa kwa lipi na wamech … more →

Dawa za mitishamba13 comments

Strictly Gospel wrote 4 months ago: Bwana Yesu asifiwe wapendwa nimekua na tatizo hili ambalo sielewi vyema, nimeona siku hizi kuna watu … more →

Baada ya kuokoka....11 comments

Strictly Gospel wrote 4 months ago: Kama mtu kabla ya kuokoka alijipatia mali kwa njia isiyo halali kama vile wizi, ujambazi, ufisadi, k … more →

'Stage show' kwenye nyimbo za Injili14 comments

Strictly Gospel wrote 4 months ago: Je, Uimbaji wa nyimbo za Injili ambao huambatana na watu wengine kwenye jukwaa ambao lengo lao ni … more →

Ushabiki wa Timu ya Mpira na Ukristo15 comments

Strictly Gospel wrote 5 months ago: FCB, CHELSEA, SIMBA SPORTS CLUB, MANCHESTER UNITED, LIVERPOOL, ARSENAL, YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB, … more →

Uchaguzi 20106 comments

Strictly Gospel wrote 6 months ago: 1. Ni sahihi kwa wakristo kuwapigia kura wanaojulikana ni mafisadi? 2. Wakristo kujiunga na siasa, n … more →

Wokovu ni Bure au ni gharama?26 comments

Strictly Gospel wrote 6 months ago: Ni kweli kwamba wokovu ni wa Bure? Wengine husema Wokovu ni wa bure wengine wokovu ni gharama. Ukwel … more →

Majina ya Malaika na ya Majini/Mapepo16 comments

Strictly Gospel wrote 6 months ago: Watumishi  wengi wa Mungu kama vile waalimu,  wahubiri, waombaji husikika wakiyataja MAJINA ya Mapep … more →


Related Tags
All →

Follow this tag via RSS