LIGI kuu soka Tanzania bara imeendelea leo kwa mechi tano kupigwa viwanja mbalimbali nchini.
Wekundu wa Msimbazi, Simba walikuwa wenyeji wa Polisi Morogoro na dakika 90 za mechi hiyo zimemalizika kwa sare ya 1-1. 347 more words