Tags » Overheard

Overheard

Olivia: “Where is Daddy going?”

Rebecca: “He’s going to go play trivia.”

Bryan: “Excuse me?”

Rebecca: “He’s going to go win trivia.”

Overheard

This Guy?

“M’am, your bag is too big for the overhead bins. We’re going to have to gate check it.”

The woman, her hair curled up top just so, points at her roller bag that has been stuffed to capacity and says, “What, this guy?”

GENERAL

MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA KALAMBO, MOSHI CHANG'A WAAGWA DAR

 

Waziri Mkuu na Mkewe Tunu (kulia)  wakitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Moshi Chang’a, nyumbani kwa Marehemu Mbagala Kibonde Maji jijini Dar es salaam Aprili 22, 2014. 322 more words

OVERHEARD

HII NI MARA YA 28, WANASAYANSI WA NIMR KUKUTANA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua pazia kuashiria kuzindua rasmi Kongamano la 28 la Mwaka la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Tiba (NIMR), lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam. 365 more words

OVERHEARD

BAADA YA UTATA KULIKUMBA BUNGE LA KATIBA, ZANZIBAR WATAFUTA MSIMAMO WA PAMOJA KWA KUJADILI KATIBA MPYA NJE.

 Mwenyekiti wa Kongamano la Kitaifa la Kujadili Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Sheikh. Khamis Yussuf, akizungumza katika Kongamano hilo na kutowa maelezo juu ya Kongamano hilo linalojadili Rasimu hiyo, lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar SUZA  135 more words

POLITICS & POLICY

{KICHUPA} EPIC STORY ABOUT "NANI ANAFAIDIKA NA MADINI YA MERELANI

A survey conducted by the Institute for Information Media2solution in Simanjiro for about three months to determine the benefits that communities of these areas benefit from the Tanzanite mining. 48 more words

POLITICS & POLICY