Mwanamuziki wa Bongo Flava Jux Amezikana Tetesi kuwa Wimbo wake Mpya ‘Sisikii’ amemuimbia Vanessa Mdee ambae inasemekana kwa sasa ni Wapenzi ,
Jux Ameambia Udaku Special kuwa Nyimbo zake zote alizowahi kuzitoa sio maalum kwa ajili ya mtu bali amezitunga tu na hazihusiani na Maisha yake, 17 more words