Tags » Uhuru

UHURU NI UTUMWA LAKINI TOFAUTI NA UTUMWA WA SHETANI

ULITOKA KWENYE UTUMWA WA SHETANI UWE HURU YAANI MTUMWA WA YESU SIYO MTUMWA WA WATU

Ukikubali kufanywa mtumwa wa Mtu ni kupenda kwako kwani maandiko yako wazi kuhusu suala hilo. 486 more words

Happy Mashujaa Day Kenya

“My own heroes are the dreamers, those men and women who tried to make the world a better place than when they found it, whether in small ways or great ones. 40 more words

Blog

A Traveler’s Tale: Jenga Nchi In The Midst of Corruption And Impunity.

It is exactly 5pm and the last session of the Social Media Conference comes to an end at Fairmont Norfolk, and then it hits me that I cannot be in Nairobi and fail to visit with my few friends and family in Nairobi West and Langat’a. 2,050 more words

Social

RAIS WA KENYA ICC BILA URAIS LEO AMEENDA RWANDA AKIWA RAIS BILA UHURU KENYATTA?

NINI TOFAUTI YA SAFARI YA UHURU ICC NA SAFARI YAKE RWANDA?

RAIS WA KENYA UHURU AKIAGA KAIMU WA RAIS WILLIAM RUTO MUDA MFUPI LEO KABLA YA KWENDA RWANDA KWA ZIARA YA SIKU MBILI… 24 more words

RAILA ANAOKOA KENYA ITOKE WAPI KWENDA WAPI?

MZEE JOMO KENYATTA ALIIKOMBOA KENYA TOKA WAKOLONI, RAILA NA CORD WANAIKOA KENYA TOKA KATIBA WALIYOSEMA NDIYO KWANI WALIOIKATAA NDIO WANAOONGOZA?

Au kunaendaje? Kenya inaokolewa toka Shetani kwenda kwa Yesu? 33 more words

Ruto William alikuwa Rais wa Kenya kwa masaa mangapi?

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta avua madaraka ya Urais ili aende Uholanzi Mahakama ya Kimataifa ICC kuhudhuria kesi inayomkabili ya maangamizi ya Binadamu wakati wa ghasia za baada ya Uchaguzi mwaka 2007… 201 more words

UHURU RAIS WA KENYA ICC? AU RAIA WA KENYA MSHITAKIWA ICC?

Tofauti na Yona ambaye hakurudi kwenye meli baada ya kutupwa baharini , Uhuru anaonekana atarudi kwenye meli wakati tatizo lililosababisha atupwe baharini ICC halijaisha.

Huko Baharini ICC Uhuru aliambiwa kwamba yeye na Serikali yake ndio wanaozuia Ushahidi muhimu ili bahari ikose ushahidi wa kumzamisha kilindini. 38 more words