Tags » All

My Mental Health Story - #BellLetsTalk Day

It was a Monday and just like every day before work, I woke up, got changed, and got ready to go. Except this Monday was different. 812 more words

All

Arsenal yaboresha safu ya ulizi kwa. Kumsajili Pablo Mari

Arsenal wamekamilisha usajili wa mlinzi Pablo Mari kutoka Flamengo (Brazil) kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu huu na kukiwa na nafasi ya kumnunua mwishoni mwa msimu 2019/2020.

All

Chelsea yaendelea kuimalisha safu ya ushambuliaji

Chelsea wapo kwenye mazungumzo na Napoli juu ya uhamisho wa mshambuliaji Dries Mertens,
kwa mujibu wa (Di Marzio ) Majadiliano yanaendelea na masaa machache yajayo yataamua hatma ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32

All

YANGA YAPELEKA MALALAMIKO BODI YA LIGI JUU YA FAINI WALIZOPIGWA

Uongozi wa klabu ya Yanga umepeleka malalamiko Bodi ya ligi (TPLB) juu ya faini walizopewa katika mechi zao zilizochezwa mwezi uliopita kutokana na kutoridhishwa na jinsi hatua hizo zilivyo chukuliwa dhidi yao. 163 more words

All

kocha mkuu wa Asto villa Dean Smithn aweka rekodi mpya jana

1 – Dean Smith kocha mkuu wa Aston villa anakuwa meneja wa kwanza wa Kiingereza kufikia fainali ya Kombe la Ligi tangu Phil Parkinson akiiongoza Bradford City mnamo 2012-13: 33 more words

All

AC Milan wameshinda michezo mitano kati ya sita iliyochezwa tangu Zlatan Ibrahimovic afike

AC Milan wameshinda michezo mitano kati ya sita iliyochezwa tangu Zlatan Ibrahimovic afike:
🏟 Mechi 6️⃣
✅ Ushindi 5️⃣
🤝 Sare 1️⃣
⚽ Magoli 1️⃣0️⃣ 27 more words

All

Golikipa wa Kenya Harambee Ian Otieno kujiunga na klabu ya Zesco United

Golikipa wa timu ya taifa ya Kenya Harambee Ian Otieno yuko kwenye hatua za mwisho za kijamii dili lake la kujiunga na klabu ya Zesco United ya Zambia… 41 more words

All