Tags » Baraza

'Smile (Unanifurahisha)' - Amos & Josh

A new Afropop duo on the horizon in Kenya. Amos & Josh already rose to fame in Kenya through their participation in the Tusker Project Fame Season Six. 89 more words

Kenya

BARAZANI: Waziri atishia kujiuzulu Z’bar

Zanzibar. Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Issa Haji Ussi amesema yuko tayari kuachia nafasi yake endapo itagundulika kauli zake zinadanganya na kushusha utendaji wa Serikali. 252 more words

Jamii

Wawakilishi Z’bar wakacha kikao, Baraza laahirishwa

Zanzibar. Kikao cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW), kimeahirishwa kwa mara ya pili kutokana na idadi ya wajumbe kutotimia kwa mujibu wa kanuni za uendeshaji wa chombo hicho cha kutunga sheria, Zanzibar. 252 more words

Habari

Uhaba wa fedha waathiri wagonjwa Zanzibar

 Zanzibar. Wagonjwa wa akili katika Hospitali ya Kidongochekundu, wamekuwa wakipewa mlo mmoja kwa siku katika kipindi cha mwaka mmoja na wakati mwingine kulala giza kutokana na Wizara ya Afya Zanzibar kushindwa kutoa fedha za matumizi kwa muda mwafaka, imefahamika visiwani humu jana. 342 more words

Habari

Shein awataka mawaziri Z’bar kujibu maswali kwa hoja

Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amewataka mawaziri kujibu maswali yanayoulizwa na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa hoja na kwa umakini mkubwa ili kufanikisha utekelezaji wa wajibu wa baraza wa kuisimamia Serikali. 374 more words

Habari

Hakuna vifaa vya kugundua ‘unga’ viwanja vya Ndege

Zanzibar. Mwakilishi wa Viti Maalumu, Marina Joo Tomasi amesema Uwanja wa Ndege wa Zanzibar, hauna mashine za kutambua dawa za kulevya na akaitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuachana na kujenga vituo kurekebisha tabia kutokana na kile alichodai vinaongeza gharama na badala yake wazidishe ulinzi katika Viwanja vya ndege na Bandari. 168 more words

Habari