Tags » Bolingo/Ngwasuma

Satellite Plus 2: Zawadi ya Christmass toka kwa Werasson kwa Mashabiki wake

Kama Video haichezi bofya picha hiyo.

Mwanamuziki Werasson Ngiama usiku wa tarehe 26 alizindua Single yake mpya ijulikanayo kama Satellite Plus 2 ambayo ime kwenye albamu yake mpya ijayo. 169 more words

Bolingo/Ngwasuma

Historia ya Werasson ndani ya Kitabu

Hadji Le Jeebenique

Nadhani Werrason ni mmoja wa wanamuziki wa Congo wenye washabiki wengi sana hapa nchini na Africa kama sio duniani kiujumla.Lakini kwa muda mrefu mashabiki na wapenzi wake hao wamekua wakimfahamu Le Roi De La Forret Papaa na Exocee Mobali ya Mama Pastor Sylvie Mampata kijuu juu tu.Lakini safari hii mashabiki wake na wa muziki kiujumla hususan wanafamilia wa wenge wamepewa fursa maalum ya kumjua nguli huyu wa muziki wa congo kupitia kitabu maalau ambacho kimeshachapishwa kikielezea historia ya mwanamuziki huyo binafsi na katika harakati zake za kujiingiza kwenye muziki,kuwa star na mpaka sasa kumiliki bendi kubwa na yenye mafanikio makubwa pia. 812 more words

Muziki

Cindy Olomide Mpenzi wa Koffi anayetamba Quartier Latin

Ukiachilia mbali akina Mbili Abel, Tshalla Muana ama akina Skolla Miel kwa muda mrefu Congo ilikuwa haina mwanamuziki mwingine wa kike kwenye ramani ya dunia ya muziki hasa mbele za mashabiki wa Lingala ambao wakoo ndani na nje ya Congo yenyewe. 234 more words

Bolingo/Ngwasuma

SABABU RASMI ZA MGAWANYIKO WA WENGE MUSICA BCBG 4X4 TOUT TERRAIN NA MIAKA MITATU YA MWANZO YA BCBG NA MAISON MERRE (Sehemu ya II)

Majuzi tuliona jinsi Wenge kuanzia Mwanzo ilivyoaanza mpaka ilipofikia kumeguka kwa JB Mpiana na Werason (Kama uliikosa bofya hapa), Leo hii tunaanza kuiangalai Wenge BCBG ya JB Mpiana. 1,114 more words

Burudani

Unamjua Ferre Gola

Anaitwa Ferre Gola lakini jina lake halisi ni Hervé Gola Bataringe, alizaliwa March 3, mwaka 1976 huko Lingwala karibu na Kinshasa.

Katika ujana wake Ferre anasemwa kuwa alipenda sana kuimba na alipenda zaidi kuimba nyimbo wa wanamuziki waliotangulia akisemwa kuwa alikuwa mshabiki mkubwa sana wa Wenge Musica ya wakati huo kabla haijavunjika.  … 552 more words

Bolingo/Ngwasuma

Koffi alipomchezesha Kisanola balozi wa Ivory Coast huko Abjidjan!!

Likifika suala la muziki bwana kila mtu atajua tu kucheza hata ukitingisha mwili ukanata na beat inatosha. Angalia video hii jinsi mtu mzima Koffi Olomide alipowaamsha ma Pendejee (PDG) na kuwachezesha mmoja wapo alikuwa balozi wa Marekani huko Cote D’Voir Abdijan mwaka jana.

Burudani

Mr Paul bado ang'ara ughaibuni!!

Mwanamuziki mahiri wa mtindo wa Zouk Mr Paul aliyeko nchini Austrlia atakuwa mingoni mwa wanamuziki wahamiaji wanaoishi nchini humo ambao kwa pamoja watatengeneza Albamu ambayo itapatikana sokoni mwaka huu. 153 more words

Muziki