Tags » Bunge

Kenya: Wabunge wajadili 'ukosefu wa karatasi za kwenda haja kubwa' bungeni

Wakenya wamewataka wabunge wao kubeba karatasi zao za kutumia baada ya haja kubwa bungeni iwapo wameghadhabishwa na ukosefu wa karatasi hizo bungeni.

Wabunge katika mjadala siku ya Jumatano walitumia muda wao mwingi kulalamikia ukosefu wa karatasi hizo na maji katika vyoo vyao. 390 more words

News

KAHAWA YA GANODERMA

Green World Ganoderma Coffee

–Kahawa Hii haitokani na kahawa ya kawaida(Buni)

-Kahawa hii hutokana na Uyoga

-Ndani Ya Uyoga Kuna Madini Yaitwayo Ganoderma Lucidim,ambayo ndio kiungo cha kahawa ya Green World. 125 more words

Nguvu za kiume zatikisa bunge

Sakata la upungufu wa nguvu za kiume ambalo limekuwa changamoto kubwa kwa baadhi ya wanaume miaka ya sasa, limeibua sintofahamu bungeni baada ya mbunge wa Konde, Khatibu Saidi Haji (CUF) kutaka kujua serikali imejipanga vipi katika kukabiliana nalo. 177 more words

Featured

VIDEO:Tundu Lissu "Tulipomfukuza ZITTO Kabwe Spika Alizuia, ila Lipumba Akifukuza Wabunge Anakubali Haraka..Kunani?"

Tundu Lissu amesema kuna double standard imetumika kuwavua ubunge wabunge wa CUF, Amesema ikitokea wabunge wa upinzani wakitumiwa na CCM kuvuruga chama na upinzani ukaamua kuwafukuza spika haridhii kuwafukuza hadi kesi zinafunguliwa mahakamani… 118 more words

SIASA

FDA Approves Bunge’s Petition to Claim Soybean Oil as Heart Healthy


July 31, 2017 (STL.News) Now, food companies and restaurants can use the heart health claim with some of their most popular products where soybean oil is typically used, including bottled oil, dressings, dips, snacks, baked goods and more. 41 more words

Hoja Mbili zilivyomtoa TUNDU LISSU Mahabusu Dar

Hakimu Wilbard Mashauri jana alitumia hoja mbili kumpa dhamana, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu aliyekuwa mahabusu tangu Julai 19 akituhumiwa kwa uchochezi.

“Upendo wa dhati” ulioonyeshwa na jopo la mawakili 18 waliojitokeza kumwakilisha na rekodi yake nzuri, vilitosha kumshawishi hakimu huyo mkazi mkuu kumuachia Lissu, ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS). 665 more words

SIASA