Tags » Categorized!

IGP Sirro aongoza zoezi la usajili kwa kutumia alama za vidole

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewaongoza Makamishna na Maofisa Wakuu Waandamiazi wa Jeshi hilo katika zoezi la usajili wa line za simu kwa kutumia alama za vidole linaloendeshwa kupitia makampuni mbalimbali ya simu za mkononi. 114 more words

Categorized

Picha: Rais Magufuli amwapisha Dkt. Mpoki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akimuapisha Dkt. Mpoki Ulisubisya kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 20, 2019. 47 more words

Categorized

Maafisa ardhi wote wa Mkoa wahamishwa sababu ya migogoro

Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi, William Lukuvi ameagiza kuhamishwa kwa watumishi wote wa Sekta ya Ardhi katika mkoa mzima wa Morogoro sambamba na kuanzishwa ofisi ya Ardhi Kanda ya Mashariki katika mkoa huo. 100 more words

Categorized

Picha: Mbwana Samatta akishangilia mara baada ya KRC Genk kutwaa ubingwa

Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mbwana Samatta akishangilia mara baada ya timu yake KRC Genk kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu nchini Ubelgiji.

from MUUNGWANA BLOG http://bit.ly/30wl8m1

Categorized

Kinamama msiwape watoto wachanga asali: Pinda

Waziri mkuu mstaafu Pinda amewatahadharisha wakinamama kuwa makini na matumizi ya asali kwa watoto wachanga,kwa kuwa utumbo wa mtoto unakuwa hauko tayari kuchakata vyakula kama asali. 55 more words

Categorized

Watu 11 wapigwa Risasi na kufa wakiwa Baa

Polisi nchini Brazil wameripoti kuwa watu wasiopungua 11 wameuawa baada ya kupigwa risasi katika baa moja kwenye jimbo la Para, kaskazini mwa nchi hiyo.

Tukio hilo lilitokea jana (Jumapili) alasiri pale majambazi 7 waliojihami na bunduki walipovamia baa hiyo na kuanza kufyatua risasi kiholela. 38 more words

Categorized

Waziri Lugola ataka Polisi kuachia pikipiki zote walizokamata

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limepewa saa kadhaa leo asubuhi Jumatatu Mei 20, 2019 kuziachia pikipiki zote walizozikamata na ikifika jioni bila agizo hilo kutekelezwa, watakumbana na mkono wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola. 146 more words

Categorized