Tags » Chadema

USIWE MWEPESI WA KUPOKEA MATOKEO.

Maisha ni mashindano

Maisha ni mapigano

Maisha ni utendaji halisi sio wa mfano.

Nimeamua tuanze na hili kwanza leo.

Rehema na utukufu ni vyako utupaye pumzi hii. 268 more words

Elimu

CHADEMA yanena

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa maoni yake baada ya Mahakama ya Juu nchini Kenya kufuta matokeo ya Urais na kutaka uchaguzi urudiwe, huku ikiishauri serikali kuiga mfano wao kwa kurudisha mchakato wa Katiba ili kupata Katiba mpya. 152 more words

SIASA

Pigo jingine kwa Chadema

Mahakama ya Rufani Tanzania imebariki Uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Longido mkoani Arusha kurudiwa baada ya kutupilia mbali rufaa iliyokatwa na aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Onesmo Ole Nangole kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo. 252 more words

SIASA

Chadema yathibitisha kukamatwa kwa Ester Bulaya

Moja ya taarifa zilizopo ni pamoja na hii ambayo kuhusu Mbunge wa Bunda Mjini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Ester Bulaya kukamatwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Rorya katika Mkoa wa Mara akiwa katika majukumu ya kichama. 77 more words

Habari Mkononi

NDESAMBULO KUAGWA LEO VIWANJA VYA MAJENGO MOSHI

Mwili wa Mbunge Mstaafu wa Moshi Mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa kilimanjaro, Mhe.Philemon Ndessamburo ambaye alifariki Dunia wiki iliyopita mkoani Kilimanjaro akiwa ofisini kwake, unatarajiwa kuagwa mapema hii leo kwenye viwanja vya majengo. 50 more words

Habari

The Relevance of Politics Ideology

Our current politics is small, ethno-divisive and rejects intellectual¬†acuity. Both the smallness and the polarity of our politics bother me at times. I’m pro-participation. If not all Tanzanians, I expect the size¬†of participants to increase and be inclusive. 117 more words

VIDEO : GODBLESS LEMA AACHIWA KWA DHAMANA

Mahakama hiyo imefikia uamuzi huo baada ya kupitia hoja za pande zote mbili zilizowasilishwa mahakamani hapo leo na kuamua kuzitupitilia mbali hoja za upande wa serikali za kumnyima Lema dhamana. 231 more words

Habari