Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amesema uanzishwaji wa mafunzo kwa njia ya mtandao “e-learning” katika Chuo cha Taaluma za Sayansi ya Afya Mbweni, ni hatua muhimu katika wakati huu wa sayansi na teknolojia. 683 more words