Tags » Dodoma

TUNDU LISSU AJERUHIWA VIBAYA KWA RISASI

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antipas Lissu, amejeruhiwa vibaya kwa risasi na watu wasiojulikana mkoani Dodoma.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, ameeleza kwamba Mheshimiwa lissu alifikwa na mkasa huo wa kusikitisha nyumbani kwake ‘Area D’ alipokuwa akitokea Bungeni. 72 more words

Habari

SHABIKI MAARUFU WA YANGA 'ALLY YANGA' AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI

Shabiki maarufu wa klabu ya Yanga, Ally Yanga, amefariki Dunia kwa ajali ya gari iliyotokea mpwapwa mkoani Dodoma.

Ajali hiyo imetokea wakati Ally Yanga na wenzake walipokuwa wakitoka Dodoma katika mbio za Mwenge. 22 more words

Michezo

Volcano-Tectonics in Tanzania, exploring the World’s Strangest Volcano

The University of Glasgow Tanzania Expedition took place in June 2015 and consisted of a team of 13 Glasgow students who worked alongside a group of students from the University of Dodoma to study the unique… 177 more words

Projects