Tags » Facebook

Napenda kumpongeza Rais John Magufuli kwa kuchaguliwa kwake kuwa Kiongozi wa Chama chake cha CCM akiwa Mwenyekiti wa Tano chama hicho. CCM imeendelea kudumisha utamaduni wa kukabidhiana Uongozi kila baada ya muda, jambo ambalo ni la kujifunza hasa kwa vyama vya Siasa nchini na barani Afrika. 53 more words

Facebook