Tags » Feeds

Guide to lablab bean use in smallholder systems in Africa

This extension brief, by International Livestock Research Institute (ILRI) researchers and their partners in Zimbabwe, explains explains the best cultivation and management practices for lablab bean and its importance as a forage crop. 102 more words

Animal Feeding

Ni uwazi usiopingika kuwa jinsi mtu anavyovaa, aina ya mavazi anayovaa na hata jinsi anavyonyoa au kusuka nywele zake ndivyo anavyobainisha hadharani HAIBA yake!
Kwa kuwa kumekuwepo mitindo ya mavazi, kusuka na kunyoa nywele kusikoakisi MAADILI ya KITANZANIA na kuudhalilisha UTU hadharani, hao nao wakamatwe na kuadhibiwa kwa KUUAIBISHA UTANZANIA hadharani. 40 more words

Feeds

Bustos joins local Democrats to protect Affordable Care Act

http://ift.tt/2kAjyOv

ROCK ISLAND, Illinois — Rep. Cheri Bustos joined Democrats across the country on Saturday, Feb. 18, fighting to protect the Affordable Care Act.

Bustos spoke at Laborer’s Local 309 in Rock Island as part of a National Day of Action. 81 more words

Hata kama majina, matukio na mengi mengine yatafanana au kujirudia, siku ya leo na ile ya kesho kamwe hazitakuwa siku ileile!
Kila siku ni siku nyingine kwa kuwa kila siku huhesabiwa kipekee na ndipo huja miezi hadi miaka ambayo huwa umri wa kiumbe!

Feeds

Pale na popote ulipo nakutakia furaha ya siku ya wapendanao.
Dumisha upendo kwa nguvu zako na uwezo wako wote!
KHERI IWE NANYI MPENDANAO.

Feeds

Guide to velvet bean use in smallholder systems in Africa

This extension brief by International Livestock Research Institute (ILRI) researchers and their partners in Zimbabwe, explains the importance of velvet bean as a forage crop and the best practices in managing the crop. 92 more words

Animal Feeding