Tags » Harmonize

Harmonize ft Diamondplatnumz-Bado(254lyrics)

Song- Bado
Artist- Harmonize ft Diamond
Kuta kidomo wazi, nikifuta na machozi
Huku namwomba Mola unitoke moyoni
Ila no siwezi, nakesha ka mminzi
Maana ata nkilala unanijia machoni(bado) 204 more words

254lyrics

Harmonize asema haya kuhusiana kujihusisha na mambo ya kichawi ili kutoka kimuziki.

Msanii wa bongo fleva toka WCB,Harmonize amesema kamwe haamini kama kujihusisha na uchawi pamoja na ushirikina kunaweza kumsaidia msanii kutusua kimuziki.

Akihojiwa kwenye kipindi kimoja cha Tv msanii huyo amesema kuwa yeye anaamini Mungu na kipaji ndivyo vinaweza kumfanya mtu ang’are kisanii. 34 more words

Featured

Video + Audio: Harmonize ft. Diamond Platnumz – Bado

Wasafi Records presents a new video from signed act Harmonize featuring Tanzanian heavyweight and fellow label mate, Diamond Platnumz on new jam titled Bado.

DOWNLOAD MP3

DOWNLOAD VIDEO

Home