Tags » Hotuba Na Mawaidha

Ukristo katika Miongozo ya Ayatullah Udhma Khamenei

Mlango wa Kwanza:  Nabii Isa Masihi (AS)

Mtume Mkubwa wa Mwenyezi Mungu

Thamani ya Nabii Isa (AS) kwa mtazamo wa Waislamu, bila ya shaka si ndogo na haishindwi na ile waliyo nayo Wakristo ambao ni wafuasi wa kweli wa mtukufu huyo. 1,762 more words

Hotuba Na Mawaidha

Historia ya Msikiti Mtukufu wa Makka

Maka (Kiarabu Makkah, Zamani Macoraba) Mji Magharibi mwa Saudi Arabia, mji mkuu wa Al-Hijaz katika jimbo la Hijaz karibu na Jiddah. Waislamu waliuita mji huu “Umm al-Qora”, maana yake “Mama wa Miji” jina hili limetokana na utakatifu wake baada ya kuwa sehemu aliyozaliwa Mtume Muhammad (saw). 704 more words

Hotuba Na Mawaidha

Sheikh Hemedi Jalala: Ziarani kitabligh Mkoani Tabora

Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu Tanzania chini ya Mwamvuli wa Hawza Imam Swadiq Samahat Sheikh Hemedi Jalala Mwisho mwa Wiki hii aliongoza Jopo la Wanaharakati na Wahubiri kutoka hawza Imam Swadiq (as) kuzuru Mkoa wa Tabora kwa ajili ya kukutana na waumini wa kiislamu katika mkoa huo. 201 more words

Hotuba Na Mawaidha