Mwanamuziki nyota wa Tanzania, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ ameteuliwa kuwania tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Afrika Mshariki katika Tuzo za Kora 2008. Kwa mujibu wa gazeti la New Vision la Uganda, Jaydee ni mwanamuziki pekee kutoka Tanzania kuchangulia kwenye kinyang’anyiro cha mwaka huu. 135 more words