Tags » Katuni

Video:Haki katika nchi ya Tanzania

Hii ni Wiki ya Sheria nchini Tanzania, maadhimisho yameanza rasmi Januari 28 na kilele kitakuwa Februarili Mosi. Mchoraji Said Michael anatoa fikra zake kuhusu hali ya upatikanaji haki nchini humo katika kipindi hiki cha maadhimisho hayo.

Na.Godfrey Nathan

KATUNI

KATUNI:UDIKTETA

‚ÄčNa.Godfrey Nathan

Baada ya kuapishwa rasmi kuwa rais wa dola kubwa duniani, sasa anaonekena akitawazwa na madiktekta wa Afrika na maeneo mengine ya ulimwengu yaliogubikwa na mambo mabaya. 10 more words

KATUNI