Tags » Masoud Kipanya

Efrancia na Putir out ndani ya Maisha Plus!

View Full Album

Kama tulivyoahidi awali kuwaleteeni updates za shindano la Maisha Plus,

Washiriki wawili waliokuwa wakiwakilisha kanda ya kati, Efrancia Mangii (kulia) na Peter Putir (Shoto) wameliaga shindano la Maisha Plus hilo huku Maulid Wadi akirejea baada ya kupata kura nyingi. 197 more words

Burudani