Tags » Mataifa

TRUMP ASISITIZA HACHUNGUZWI NA FBI

Rais wa Marekani Donald Trump amesema hachunguzwi na mtu yeyote wala shirika la ujasusi la FBI halimchunguzi. Hiyo ni baada ya kumfuta kazi mkurugenzi wa shirika la FBI. 97 more words

Habali

RAIS MPYA MOON JAE-IN WA KOREA KUSINI APANGUA VIONGOZI

Lee Nak-yon, Mkuu wa Mkoa wa Jeolla Kusini, ametajwa kuwa Waziri Mkuu katika Serikali ya Rais Moon. Uteuzi wake utawasilishwa katika Bunge la nchi hiyo na ataanza kutekeleza majukumu yake baada ya kupitishwa na wabunge. 101 more words

Habali

COM WATIMUANA TENA ARUSHA 

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewafukuza viongozi wake katika kata nne kwa tuhuma mbalimbali ikiwepo matumizi mabaya ya fedha na mali za chama hicho.
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Hamfrey Polepole ametangaza leo uamuzi huo na kuelezea CCM haitawavulia wanachama wake wabadhirifu… 13 more words

Habali

KUTOKEA KENYA-BILI YA POMBE YAZUA MAUTI


​Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 50 aliyefahamika kwa jina la Saimoni Solo yupo katika hali mahututi baada ya Afisa wa polisi kumpiga risasi kichwani kabla ya kujiuwa na inaripotiwa kuwa chanzo cha tukio hilo ni kulitokea kuto kuelewana wao kwa wao baada ya marehemu kudaiwa bili ya pombe ambayo ni Ksh 430 amabazo ni zaidi ya Tsh 9,321.

Habali

KUTOKA KENYA -KESI ZA MCHUJO WA JUBILEE

Kamati iliyobuniwa kutatua mizozo na malalamishi ya uchaguzi wa mchujo wa chama cha Jubilii imemtangaza Charles Jaguar maarufu kama Jaguar kuwa mshindi wa uchaguzi wa mchujo wa ubunge katika jimbo la starehe na kutupilia mbali ushindi wa mbunge wa eneo hilo Maina Kamanda huku kamati hiyo ikiwa na jukumu la kusikiliza kesi 300 mpaka sasa.

Habali

BREAKING:MTANDAO WA WHATSAPP UMEPOTEA HEWANI DUNIA NZIMA

Inawezekana wewe ukawa ni mmoja kati ya watu ambao wameshangazwa na kuona simu zao usiku huu ukituma ujumbe wa Whatsapp hauendi na kuanza kujiuliza kama shida ni salio, simu au tatizo la kiufundi. 58 more words

Habali

ZLATAN IBRAHIMOVIC AMEKATAA KULIPWA MSHAHARA NA MAN UNITED

Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden anayeichezea Man United ya England Zlatan Ibrahimovic amerudi kwenye headlines baada ya maamuzi yake kuandikwa na vyombo vya habari, Zlatan ameripotiwa na mtandao wa dreamteamfc.com kuwa amekataa kulipwa mshahara na Man United. 90 more words

Habali