Tags » Mitindo

HABARI

Saafu hii itahusu habari zote za ndani na nje ya nchi

WATOTO WA KIZUNGU WANAVYOHUSUDU NA KUINUA MITINDO YETU...

Kuna mambo na majambo.

Muziki na densi ni moja ya alama kuu za utamaduni.  Kwa wale tunaopuuza tamaduni zetu ni vyema kukumbushwa zilivyo muhimu, namna Uafrika unavyoendelea kuvutia wenzetu. 52 more words