Tags » Mwananchi

KWA NINI PASTOR MUNISHI ALIKATAA KUONGEA NA GAZETI LA MWANANCHI?

KWA NINI PASTOR MUNISHI ALIKATAA KUONGEA NA GAZETI LA MWANANCHI?

Ilikuwa kwenye Tamasha la Pasaka ambapo Pastor Munishi alikutana na mwandishi aliyekuwa amevaa nusu uchi akajitambulisha kwake kama Vicky Kimaro kutoka gazeti la Mwananchi na angetaka kufanya mahojiano nami. 53 more words

News: hizi ndizo habari kuu katika magazeti ya leo

NIPASHE
Mwanafunzi wa shule ya msingi Dar mwenye
miaka saba ameuawa kikatili baada ya
kubakwa,kuchinjwa kisha kunyofolewa sehemu
za siri.
Mtoto huyo ambaye jina lake limehifadhiwa… 693 more words

News