Tags » Salomé

Diamond platnumz ft Rayvanny-Salome(254lyrics)

Diamond Platinumz ft Rayvanny

Salome

make money listening to your favourite song

Kioo hakidanganyi mama

Umejipodoa umepodoka

Mwendo na jipwa, vyote mwanana

Visuruari yanidondoka

make money listening to your favourite song… 257 more words

254lyrics

               

Moja kati ya wasanii wenye heshma kubwa nchini na watunzi wa mashairi na nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika, Mrisho Mpoto, kupitia mtandao wa Instagram amemsifia Diamond Platnumz kwa wimbo wake mpya wa Salome na kusema kuwa amemfurahisha sana kwani amefanya wimbo wenye asili ya kwetu Tanzania na hiyo ni heshima kwa nchi. 121 more words

Entertainment

The Remix V/S the Original #Salome

I really tried to refrain myself from doing another Diamond Platinumz post but have you heard the remix to Saida Karoli‘s Maria Salome?……I would be damned if I did not do this post. 219 more words

African Music

Mwanadada Wema akiongea na kipindi kimoja cha redio leo mchana alipoulizwa yapi maoni yake kuhusu wimbo mpya wa Salome alisema wimbo ni mzuri sana na alitakiwa kufanya video lkn ilibidi walipe mil 75 kama gharama za yeye kutokea kwenye video lkn WCB walitaka kutoa mil 50 ndipo aliposhauriana na uongozi wake na kuamua kukataa. 40 more words

Entertainment

Miezi 2 iliyopita msanii mkali kutoka Tanzania Diamond Platnumz alivunja rekodi barani Afrika kwa wimbo wake wa “Kidogo” ambao aliwashirikisha P-Square kupata viewers zaidi ya Million 1 katika mtandao wa Youtube ndani ya siku 4 tu. 66 more words

Entertainment

Baada ya Diamond Platnumz kuachia ngoma ya “Salome” ambayo imetokana na ngoma ya “Maria Salome”, Sasa Saida Karoli ameanza kuwa na matumaini na Diamond.

Saida Kalori msanii wa loong tyme veteran wa muziki wa asili na hivi karibuni Diamond platnumz ame release remix ya ngoma ya Saida inayoitwa Maria Salome na ya Diamond inaitwa Salome, Sasa OG ya ngoma hii ilitoka miaka ya mwanzoni mwa 2000, Mr online akaamua kumsogezea nyaya Saida Karoli ili kubonga naye. 111 more words

Entertainment

DIAMOND PLATINUMZ NEW SONG “SALOME” HITS OVER 1 MILLION VIEWS JUST IN TWO DAYS

DIAMOND PLATINUMZ NEW SONG BREAKS, AND SETS YET ANOTRHER RECORD By Dennis Milimo The new remix rendition of the song SALOME originally done by Saida karoli , that was released on Sunday by Diamond Platinumz Aka… 193 more words
Celebrity