Tags » Shairi

Kuhusu Mambo yetu

Ninakungoja,
Matumaini yangu,
Usiyavunje.

Kuhusu kazi # employmenow

Kukosa kazi,
Na kukosa maana,
Si kitu moja.

Hatari ya Haraka

Kuharakisha,
Ndio itakufanya,
Ukose mbio

Ijumaaa

Juma yakwisha,
Huku natafakari,
Bila kutenda

Wewe ni Nani?

Kujitambua,
Si tu kuyakumbuka,
Majina yako.

Kukaa Kimya

Mimi sisemi,
Wala siyaandiki,
Nimenyamaza.