Tags » Udaku

ALICHOPOST ZARI BAADA YA KUSAMBAA PICHA ZA DIAMOND NA HAMISA MOBETTO WAKIWA PAMOJA

Leo kwa wale wapenda ubuyu ilikuwa siku nzuri baada ya picha za Diamond na Mwanadada Hamisa Kuvuja wakiwa chumbani Katika Hali ya Mahaba. Huku team Hamisa na Team Wema wakiwa wenye furaha kwa kilichotokea na kumkebehi Zari na kumtukana wengine wakizusha kalazwa kwa pressure , wale wapenda ubuyu tukawa tunasubr Zari atakuja na Majibu gani hiki ndicho alichopost Kwenye page yake ya Insta.

JUX AFUNGUKA HAYA BAADA KUDAIWA KAPORWA DEMU NA JAMAA WA WCB

Baada ya uvumi kusambaa ya kuwa Muimbaji Vanessa anatoka kimapenzi na msanii mwingine wa WCB licha ya kwamba hajajulikana kuwa atakuwa nani, Ayo Tv ikampata mpenzi wa zamani wa Vanessa, Juma Jux ambaye yeye alizungumza kwa upande wake na kusema kuwa sahivi Vanessa ata akisimama na nani anasingiziwa kuwa ni mpenzi wake. 33 more words

UDAKU