Tags » Ukweli Wa Mambo

Ukweli wa Mambo: Katiba Mpya - Tuangazie Mifumo Wenyewe Hasa

KATIBA MPYA ITAKUJA BALI TUANGAZIE MFUMO WENYEWE HASA
Makala ya Nguvu ya Hoja kwa KSB Jumapili Januari, 2010
na Ndugu Mwandawiro Mghanga

Ninakariri, ukombozi wa wengi utapatikana wakati tutakapotoka kwa ndoto na kurudi katika dunia halisi ya harakati za kitabaka na kujizatiti ipasavyo. 842 more words

Ukweli Wa Mambo

Ukweli wa Mambo: Maisha Chini ya Ubepari Imechosha Uma

UMMA UMECHOSHWA NA MAISHA CHINI YA MFUMO WA UBEPARI
Makala ya Nguvu ya Hoja kwa KSB Jumamosi 18.12.2009
na Ndugu Mwandawiro Mghanga

Penye moshi bila shaka hapakosi moto. 819 more words

Ukweli Wa Mambo

Ukweli wa Mambo: Mabadiliko ya Hali ya Hewa...

MABADILIKO YA HALI YA HEWA – SWALA NYETI LINALOKABILI ULIMWENGU

Makala ya Nguvu ya Hoja kwa KSB Jumamosi Disemba 12, 2009
na Ndugu Mwandawiro Mghanga…
829 more words

Ukweli Wa Mambo

Ukweli wa Mambo: Sera ya Kitaifa Ardhi-Gangaganga za Mganga

SERA YA KITAIFA YA ARDHI – GANGAGANGA ZA MGANGA
Makala ya Nguvu ya Hoja kwa KSB Jumamosi 5.12.2009
na Ndugu Mwandawiro Mghanga

Gangaganga za mganga humpa mgonjwa matumaini ya kupona. 822 more words

News & Analysis

Ukweli wa Mambo: Kura Za Maoni za Synovate Zahatarisha Demokrasi Nchini

Makala ya Nguvu ya Hoja kwa KSB Jumamosi, 14.11.2009
na Ndugu Mwandawiro Mghanga

Mfumo wa vyama vingi Kenya ulipatikana Kenya kutokana na mapambano makali na ya muda mrefu. 835 more words

News & Analysis

Ukweli wa Mambo:Pesa ya Uma Si Mali ya Binafsi

Ukweli wa Mambo is a KSB series that began in 2007 and that features postings and articles  created by or through Ndugu Mwandawiro Mghanga, former MP of Wundanyi constituency. 786 more words

Ukweli Wa Mambo

Ukweli Wa Mambo: "VIP Shipping International" Is A Fake Company

When the “Kinyua container” scandal first  broke out over the week-end, the general line of thought was that VIP Shipping company that was at the centre of the scandal and a Mr. 1,167 more words

Ukweli Wa Mambo