Tags » Union

The Fruit of the Spirit - Matunda ya Roho (KISWAHILI: Swahili Revised Union Version Bible - DC)

KISWAHILI: Swahili Revised Union Version Bible – DC

Galatians (Wagalatia) 5:22-23

22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 9 more words

Bible

The Armor of God - Matunda ya Roho (KISWAHILI: Swahili Revised Union Version Bible - DC)

KISWAHILI: Swahili Revised Union Version Bible – DC

Ephesians (Waefeso) 6:10-18

10 Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake.

11… 141 more words

Bible

The Lord is my Shepherd - Bwana ni mchungaji wangu (KISWAHILI: Swahili Revised Union Version Bible - DC)

KISWAHILI: Swahili Revised Union Version Bible – DC

Psalms (Zaburi) 23

1 BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.

2 Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza. 69 more words

Bible

God's Love - Upendo wa Mungu (KISWAHILI: Swahili Revised Union Version Bible - DC)

KISWAHILI: Swahili Revised Union Version Bible – DC

John (Yohana) 3:16

16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.

Bible

The Beatitudes - Heri Nane (KISWAHILI: Swahili Revised Union Version Bible - DC)

KISWAHILI: Swahili Revised Union Version Bible – DC

Matthew (Mathayo) 5:3-12

3 Heri walio maskini wa roho; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.

4 Heri wenye huzuni; Maana hao watafarijika. 86 more words

Bible

The Ten Commandments - Amri Kumi (KISWAHILI: Swahili Revised Union Version Bible - DC)

KISWAHILI: Swahili Revised Union Version Bible – DC

Exodus (Kutoka) 20:3-17

3 Usiwe na miungu mingine ila mimi.

4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. 187 more words

Bible

The Lord's Prayer - Sala ya Bwana (KISWAHILI: Swahili Revised Union Version Bible - DC)

KISWAHILI: Swahili Revised Union Version Bible – DC

Matthew (Mathayo) 6:9-13

9 Basi ninyi salini hivi; Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe, Ufalme wako uje, 41 more words

Bible