Tags » Vichekesho

Chadema Yawasaidia Kutoka Mahabusu Vijana Waliotembea kwa Miguu Toka Geita Mpaka Dar Kumuona Rais

Chama cha Upinzani cha Chadema Imewasaidia Vijana watatu kutoka mahabusu Baada ya Kukamatwa na Jeshi la Polis Ijumaa iliyopita, Vijana hao walitembea kwa Miguu kutoka Geita mpaka Dar es salaam huku wakiwa wamevaa magunia kwa muda wa mwezi mmoja ili kuja kumshinikiza Rais Jakaya kikwete kutatua matatizo yanayowakabili wananchi na kutumia vitega uchumi vizuri kwa faida ya kila mwananchi… 55 more words

POSTS

Jambazi alivamia Benki, walichomfanyia wapita njia ni kali ya mwaka…

Wizi katika benki ni moja ya uhalifu ambao umekuwa ukijitokeza sana siku hizi hapa Tanzania, ambapo wapo majambazi wengine baada ya kupora pia wamekuwa wakifanya mauaji. 93 more words

POSTS

Haya ni maajabu…ndugu waamua kumzika marehemu na kuku tumboni

Katika hali isiyokua ya kawaida mwili wa Benadetha Steven mwenye miaka 35 aliyefariki dunia juzi umefanyiwa matambiko ya kimila baada ya kupasuliwa na wembe ukiwa kaburini na kuingizwa kuku ndani ya tumbo lake ikiwa ni ishara ya kuondoa mkosi. 192 more words

POSTS

{Vichekesho} Unatumia whatsApp?

Kuna kaka mmoja alimchukua dada mmoja na kwenda nae katika kioksi kwa ajili ya mazungumzo. Walipofika na kukaa tu katika vitu yule kaka akamuuliza yule dada, “unatumia whatsapp”, yule dada akajibu majestikale kabisa , “ndio natumia sasa sana za baridi, nimeachana na bavaria siku hizi..”

Vichekesho

{Vichekesho} Swali kwa washikaji wa kitaa tu!

SOMA KICHEKESHO HIKI HAPA http://vichekesho.tanzaniasite.com/2013/06/27/vichekesho-swali-kwa-washikaji-wa-kitaa-tu/

VICHEKESHO HIVI VYOTE NA VIPYA VINAENDELEA KUCHAPISHWA KATIKA TOVUTI YETU YA http://vichekesho.tanzaniasite.com/

USIKOSE KUJISAJILI UPYA ILI KUENDELEA KUPATA VICHEKESHO KWA EMAIL

Vichekesho