Tags » Watangazaji

Sporah Njau punguza maswali ya uchonganishi kwa wasanii!

Hi Sporah hongera kwa kuwa na kipindi chako kwa TV…ni hatua kubwa sana. Umeweza!! Japokuwa tunafurahia baadhi ya shows lakini nyingi zinaboa! Yeah..unatafuta viewers lakini kwa njia ya uchonganishi haipendezi. 37 more words

Watangazaji

Millard AYO ni mtangazaji anayejituma!

Nampenda sana Millard Ayo nilijua ana kitu cha tofauti tangu anaanza kazi ya utangazaji. Sio kwamba nilivutiwa na story yake.. aliyopitia nk Jamani anastahili credit nyingi sana. 130 more words

Watangazaji

Diva Uache uchonganishi na kuingilia yasiyokuhusu!

Hey! Can anybody talk to this lady aache kuingilia yasiyomhusu! We are here for a change diva…hatumpaki wema mafuta kwa mngongo wa chupa kama wewe….kwanza we si ulikuwaga mmoja wa adui zake unamsema vibaya? 39 more words

Watangazaji

HONGERA MR AND MRS MALUWE.

Majuzi wakati ulimwengu unasheherekea sikukuu ya wapendanao,mtangazaji maarufu nchini Tanzania,Michael Maluwe alihitimisha siku hiyo kwa kufunga ndoa na kipenzi chake Diana katika Kanisa Katoliki Parokia ya Msimbazi jijini Dar-es-salaam. 46 more words

Watangazaji

MAYALLA IS DOING ALRIGHT

Paschal Mayalla(pichani) mwandishi na mtangazaji maarufu hajambo na tayari yupo tena mitaani kuendelea na shughuli zake ingawa kidogo mkono bado unamsumbua.Hiyo ni kwa mujibu wa blog ya… 40 more words

Watangazaji

“WASANII WAJIELIMISHE,WAPENDANE NA WASIDANGANYANE”-KBC

Kabla ya makundi ya muziki kama vile Wanaume TMK,Das Nundaz,Nako2Nako,East Coast na mengineyo kuibuka au hata kutambulika kwenye anga za muziki nchini Tanzania yalikuwepo makundi ambayo hivi leo wengi tunakubaliana kwamba hao ndio waanzilishi wa kinachoonekana hivi leo kuwa kama vuguvugu la vijana katika kupigania haki yao ya msingi ya kujielezea(freedom of expression) katika jamii kupitia sanaa ya muziki. 1,965 more words

Muziki

HAFIDH KUTOKA COCONUT FM

Kama umeshawahi kutembelea Zanzibar hivi karibuni na ukapata nafasi ya kufungulia radio yako baada ya kupata ushauri wa wenyeji,hatutoshangaa kabisa ukituambia kwamba ulisikiliza radio ya Coconut FM.Na kama ulipata muda zaidi wa kuisikiliza Coconut FM,bila shaka ulipata nafasi ya kumsikia mtangazaji… 30 more words

Tanzania/Zanzibar